SEKONDARI ZA KILAKALA NA VICTORY ZAPATA MSAADA KUTOKA TAASISI YA NVEP KWA UFADHILI WA BARRICK
02.Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 10,000 kwa Mkuu wa shule ya sekondari ya Kilakala ya mkoani Morogoro ,Mary Lugina kwa ajili ya kuboresha miradi ya ukuzaji taaluma kwenye shule hiyo katika hafla fupi ilifanyika jijini Dar es Salaam. Fedha zimezotolewa na…