Yanga yaipiga Tabora United, Dube, Mzize wamkaribia Ahoua
KISASI ni haki! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United, katika mchezo uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora na kulipa kisasi cha kufungwa nyumbani 3-1 mechi ya kwanza. Yanga ilifungua ukurasa wa mabao dakika ya…