Samia amthibitisha Lwamo Tume ya Madini

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Ramadhan Lwamo. Uteuzi wa Lwamo umekuja ikiwa ni takribani miezi saba baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo akichukua nafasi ya Yahaya Samamba aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini. Mbali na…

Read More

AICC NA JNICC NDANI YA MAONESHO YA SABASABA

Kituo cha Mikutano cha AICC (Arusha International Conference Centre) kilichopo Arusha na JNICC (Julius Nyerere International Convention Centre) kilichopo Dar es Salaam ni miongoni mwa vituo vikubwa vya mikutano na matukio ya kitaifa na kimataifa hapa nchini Tanzania. Akizungumza katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), Bi Beatha Hyera,…

Read More

WATOTO 9 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO KWA MAFANIKIO JKCI

Wataalamu wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Save a Child’s Heart (SACH) la nchini Israel  wakizibua mshipa wa damu wa moyo wa mtoto uliokuwa umeziba,  kwa kutumia mtambo wa Cathlab wakati wa kambi maalumu ya matibabu kwa watoto iliyomalizika hivi karibuni. Picha na JKCI …………………………

Read More

Simba kunafukuta! Mastaa wakuna vichwa

UJIO wa kocha mkuu mpya, Steve Barker ndani ya Simba umewafanya mastaa wa timu hiyo kuanza kukuna vichwa kutokana na kuwaambia wazi kwamba hataangalia ukubwa wa majina ya wachezaji waliopo kikosini, isipokuwa watapimwa kwa ufanisi wao uwanjani na jinsi watakavyoibeba timu akianza na michuano ya Kombe la Mapinduzi. Kocha huyo aliyetambulishwa Desemba 19 mwaka jana…

Read More

Dkt.Biteko ateta na viongozi wa CCM Bukombe

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa uimara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unatokana na misingi iliyowekwa na waasisi ya kushirikisha wanachama wake kutoka ngazi ya balozi, kata hadi wilaya. Dkt. Biteko ameyasema hayo Juni 9, 2024 katika Wilaya ya Bukombe,…

Read More