Samia ataja mikakati Tanzania kupata nishati safi

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametaja mikakati ya kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa na nishati safi kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ikiwa pamoja na kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa na umeme. Ameyasema hayo leo Novemba 29, 2024 alipokuwa akishiriki mjadala wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jijini…

Read More

Mgomo wa wafanyabiashara Mafinga waingia siku ya pili

Mufindi. Mgomo wa wafanyabiashara  katika  Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma. Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya wananchi waliofika kwa ajili ya kupata huduma wakiduwaa wasijue…

Read More

MABALOZI WA NCHI ZA JUMUIA YA ULAYA WAITEMBELEA SUA.

Mabalozi wa nchi za umoja wa Ulaya wamaitembelea Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo SUA, Kampasi ya Edward Moringe, ili kujionea miradi mbalimbali inayoendelea Chuoni hapo kwa ufadhili wa nchi wanachama wa Jumuia hiyo. Mabalozi hao wakiongozwa na Balozi wa Jumuia ya Ulaya na Jumuia ya Afrika Mashariki Mhe.Christine Grau, wamepokewa Chuoni hapo na Naibu…

Read More

ISW YAENDELEA KUNG’ARA KWENYE TUZO ZA NBAA

:::::::: Naibu Mkuu wa Taasisi Mipango, Fedha na Utawala, Dkt. Zena Mnasi Mabeyo akipokea tuzo ya Uandaaji wa Hesabu kwa Viwango vya Kimataifa vya Uhasibu wa Sekta ya Umma (International Public Sector Accounting Standards (IPSAS), kundi la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania. Katika tuzo hizo Chuo cha Ustawi wa Jamii kimeibuka mshindi wa tatu,ikiwa…

Read More

Jela miaka 15 kwa kumuua mkewe kwa mchi bila kukusudia

Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mtwara, imemhukumu adhabu ya kifungo cha miaka 15 jela, Shaibu Mtavira, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua bila kukusudia mkewe, Aziza Mtelia, kwa kumpiga na mchi kisha kumzika kwenye shamba lao. Shaibu alikiri kumuua mkewe baada ya kutokea kutokuelewana  katika mazungumzo yao na kusababisha mapigano kati yao ambapo…

Read More

Hatua za kupunguza foleni mpakani Tunduma zaanza

Dar es Salaam. Agizo la Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuvunjwa ukuta uliopo pembezoni mwa barabara ya Tunduma ili ipatikane nafasi ya kupanua barabara hiyo, utekelezaji umeanza. Kauli hiyo ya kuanza kwa utekelezaji wa agizo hilo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame alipozungumza na Mwananchi leo Jumatatu, Januari 19, 2025 kwa simu….

Read More

Kadi nyekundu yamliza Kikoti | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji wa Namungo, Lucas Kikoti amezungumzia tukio la kuwa mchezaji wa kwanza kuonyeshwa kadi nyekundu msimu huu 2025/26 kuwa amepata kadi hiyo akiwa katika majukumu ya kuipambania timu yake, lakini amesikitika kushindwa kumaliza mchezo. Kikoti ameingia katika rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kuonyeshwa kadi nyekundu msimu huu baada ya Massoud Abdallah ‘Cabaye’ anayekipiga…

Read More