WAJASIRIAMALI KUWEZESHWA ZAIDI KUPITIA PROGRAMU YA KUENDELEZA BIASHARA YA WAZAWA YA BARRICK
Mkuu wa wilaya ya Nyang’wale Mhe. Grace Kingalame akiongea katika hafla hiyo. *** Wajasiriamali 150 kutoka wilaya za Kahama,Nyang’hwale na Msalala wamehitimu mafunzo ya siku 10 ya biashara kupitia Kupitia Programu ya Kuendeleza Biashara za Wazawa (Local Business Development Program) inayotekelezwa na Mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu, yaliyolenga kuwajengea uwezo na kuwasaidia waweze kunufaika…