Polisi wazingira makazi ya Lissu

  NYUMBA ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Marndeleo (Chadema), Tundu Lissu, inadaiwa kuzimgirwa na Polisi. Anaripiti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea). Taarifa kutoka mitandao ya kijamii ya Chadema zinaonyesha picha na video zinazodaiwa kupigwa nyumbani kwa kiongozi huyo, wakionekana maofisa wa Polisi waliovalia sare waliwa wamezingira nyumba yake. MwanaHALISI Online limeshindwa…

Read More

Siri ya mama kumtazama mtoto anaponyonyesha

Dar es Salaam. Mama mjamzito anapojifungua mtoto salama ama kwa njia ya kawaida au upasuaji,  hatua inayofuata huwa ni tendo la unyonyeshaji. Hatua hiyo ni muhimu  katika maisha ya mtoto kwani  wataalam wa afya na lishe kote duniani, wanakubaliana kuwa unyonyeshaji ni mojawapo ya njia bora zaidi za kuhakikisha ukuaji na uimara wa afya ya mtoto kimwili na kiakili. Maziwa ya mama yanatajwa kuwa na viinilishe vyote muhimu vinavyomsaidia mtoto kukabiliana…

Read More

RMO MIRERANI AWATAKA WACHIMBAJI KUWEKA MATENKI YA MAJI

Na Mwandishi wetu, Mirerani  AFISA madini mkazi (RMO) Mirerani Nchagwa Chacha Marwa amewapa miezi miwili wamiliki wa migodi ya madini ya Tanzanite mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kuhakikisha kila mgodi unakuwa na matenki ya maji ili kuepuka maradhi ya vifua kwa wachimbaji. RMO Nchagwa ameyasema hayo wakati akizungumza na wachimbaji wa madini…

Read More

Ukuta Simba wamkosha Fadlu Davids

ULE ukuta wa Simba mnauzingatia lakini? Umeshaupiga mwingi kwenye ligi ukiwa haujaruhusu bao, kama haitoshi ukaendeleza ubabe huo kimataifa, hivyo hadi sasa beki Henock Inonga ni kama hakumbukwi tena. Simba imecheza mechi mbili za ligi bila kuruhusu bao, ikacheza tena mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ugenini dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya na…

Read More

Matokeo ya Azam yamliza Saadun

KIUNGO mshambuliaji wa Azam, Nassor Saadun amekiri licha ya ubora wake binafsi, lakini kama timu wameshindwa kufikia malengo waliyojiwekea msimu huu na kuondolewa mapema katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu na hata katika michuano mingine waliyoishiriki. Azam ilianza kung’olewa katika Ngao ya Jamii kwa kufungwa 4-1 na Yanga katika fainali, kisha ikaaga mapema Ligi…

Read More

Msuva, Kapombe warejeshwa Stars ikiziwinda Ethiopia, Guinea

KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars‘, Hemed Suleiman ‘Morocco’ ameita kikosi cha wachezaji 26 watakaoingia kambini kesho kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon), itakayofanyika mwakani Morocco, huku beki wa Simba, Shomari Kapombe akijumuishwa. Stars iliyopo kundi ‘H’ ina kibarua cha kupambana…

Read More

Dau la Elie Mpanzu Simba

KAMA ulidhani ni utani, basi utakuwa unakosea, kwani Wekundu wa Msimbazi, Simba wameamua msimu huu kufanya yao na wakati wowote watamtangaza winga mpya, Elie Mpanzu ambaye inadaiwa amevuta mkwanja wa maana kutoka kwa bilionea wa klabu hiyo, Mohamed ‘MO’ Dewji ili kumwaga wino. Mwanaspoti ambalo lilikuwa la kwanza kuripoti juu ya dili la Mkongomani huyo…

Read More