
Chanika moto mkali Ligi ya Kriketi U19
MICHUANO ya Kombe la TCA kwa vijana wa umri wa chini ya miaka 19 iliwasha moto kwenye viwanja viwili jijini Dar es Salaam ambako timu za Chanika Boys na Indian School zilitoka na ushindi mnono. Timu ya Chanika Boys ilionyesha ujasiri mkubwa baada ya kuifunga KSIJ Red kwa mikimbio 59 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja…