Plankton, hali ya hewa, na mbio za kuelewa bahari yetu inayobadilika – maswala ya ulimwengu

Asubuhi iliyochomwa na jua kutoka pwani ya Villefranche-sur-mer, The Sagitta III Kupunguza kupitia maji ya cobalt ya Bahari ya Mediterania, zamani za marinas tulivu na matuta ya pine-pine ya Côte d’Azur ya Ufaransa. Chombo cha kisayansi cha futi 40-kilichopewa jina la zooplankton ya kutisha na taya zilizo na ndoano-huteleza kuelekea buoy ya manjano ya upweke….

Read More

ECCT YAITAKA JAMII KUWEKA KIPAUMBELE WATOTO KUJIFUNZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA SHULENI

TAASISI  inayojishughulisha na masuala ya Mazingira ‘Environmental  Conserarvation Community of Tanzania (ECCT) imeitaka Jamii  kuweka kipaumbele Cha utoaji elimu kwa watoto na vijana mashuleni juu ya masuala ya utunzaji wa mazingira kwa lengo la vizazi endelevu vinavyothamini umuhimu wa mazingira. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Mtendaji wa Taasisi hiyo Lucky Michael mwishoni mwa wiki Jijini…

Read More

MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI ZAMBIA KUSHIRIKI UWEKAJI JIWE LA MSINGI UKARABATI WA RELI YA TAZARA

…………………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Jijini Lusaka nchini Zambia leo Novemba 19, 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Ukarabati Mkubwa wa Reli…

Read More

Kahawa inavyosaidia wazee kurudisha nguvu mwilini

Unywaji wa kahawa unasaidia katika kuimarisha misuli ya mwili miongoni mwa wanaume wakongwe, wanasayansi wamebaini.  Wengi ambao wamefikia ukongwe, huwa na tatizo la misuli yao kuisha nguvu au kulegea, ugonjwa ambao unafahamika kwa kimombo kwa jina la ‘Sarcopenia’. Ugonjwa huo hulemaza uwezo wa mwanaume kuwajibika kwa kaz za kawaida zikiwamo za nyumbani. Hii ni kwa…

Read More