Dk Mwigulu aonya taasisi za ununuzi kukimbilia bidhaa za nje

Dar es Salaam. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi na mashirika ya umma yanayotekeleza miradi ya maendeleo kuacha utaratibu wa kununua malighafi nje ya nchi, bali watumie zinazozalishwa nchini ili kukuza uchumi na ajira kwa Watanzania. Pia, amezitaka kuacha mazoea ya kwamba samani za ofisi zinazotoka nje ya nchi ndizo bora, badala yake…

Read More

KAJULA: Siku 913 mataji mawili

JANUARI 26, 2022 Simba ilimtangaza Imani Kajula kuwa ofisa mtendaji mkuu (CEO) wa klabu alikichukua nafasi ya Barbara Gonzalez aliyejiuzulu Desemba 10, 2021. Hadi mwisho wa mwezi Agosti , mwaka huu, ndio siku ambayo ataachia ngazi katika nafasi hiyo atakuwa ametimiza siku 913 tangu ashike nafasi iliyoachwa na Barbara, huku akishindwa kufikia mafanikio yaliyofikiwa na…

Read More

TBC WATATOA FURSA SAWA KWENYE UCHAGUZI-TCRA

Na Derek MURUSURI, Dodoma SHIRIKA la Utangazaji Tanzania litaendelea kutoa fursa sawa kutangaza kampeni za vyama vyote vitakavyoshiriki uchaguzi wa mwaka huu na mwaka 2025. “Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, TBC ilifuata ratiba ya kampeni ya vyama vya siasa, na kwingine TBC walifika na vyama vyenyewe havikufika,” alisema Mhandisi Andrew Kisaka, Meneja wa Kitengo…

Read More

Sababu zatajwa tovuti, aplikesheni kushindwa kufanya kazi duniani

Dar es Salaam. Baadhi ya tovuti duniani (website), pamoja na aplikesheni kama  X, PayPal na ChatGPT leo Jumanne zimepitia changamoto ya kushindwa kufanya kazi kutokana na hitilafu iliyojitokeza kwenye miundombinu ya intaneti ya kampuni ha Cloudflare.  Cloudflare ni kampuni inayosaidia tovuti kulinda na kudhibiti trafiki ya intaneti. Kazi kuu ya Cloudflare ni kusaidia kulinda na…

Read More

Ofisi ya haki za Umoja wa Mataifa inalaani kufukuzwa kwa lazima kwa familia za Wapalestina huko Jerusalem Mashariki – Masuala ya Ulimwenguni

Kufukuzwa huko ni “kuwezeshwa na matumizi haramu ya sheria za kibaguzi za Israeli dhidi ya Wapalestina katika eneo linalokaliwa kwa mabavu,” ilisema taarifa ya ofisi hiyo. Kesi za Kisheria Takriban familia 87 za Wapalestina – karibu watu 680 – wanakabiliwa na hatua za kisheria zilizoanzishwa na “walowezi” kuwaondoa katika nyumba zao huko Batn al-Hawa. Mnamo…

Read More

JKT Queens yaendeleza rekodi za vipigo WPL

ACHANA na msimamo ulivyo wa Ligi ya Wanawake, JKT Queens ikiwa kileleni na pointi 38, timu hiyo inaongoza kwa kutoa vichapo kama ilivyo kauli mbiu yao ‘Kichapo cha Kizalendo’. Msimu huu imetoa vipigo vitanpo hadi sasa sawa na ilivyotoa msimu uliopita wote na tayari imefunga mabao 56 ikiwa timu pekee iliyofunga mabao kuanzia 50 kwenye…

Read More