Straika aitosa Dodoma Jiji | Mwanaspoti

LICHA ya uongozi wa Dodoma Jiji kumuwekea mkataba mpya wa miaka miwili mshambuliaji wa kikosi hicho, Paul Peter Kasunda, ila nyota huyo ameamua kutafuta changamoto sehemu nyingine, huku akiishukuru timu hiyo kwa nafasi iliyompa kuitumikia kwa misimu mitatu. Nyota huyo amewashukuru mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na kila mmoja aliyemuamini, huku akijivunia mafanikio na changamoto…

Read More

TANI 2302.37 ZA BANGI ZAKAMATWA

……….. Na Ester Maile Dodoma  Bangi imeendelea kuwa dawa ya kulevya iliyokamatwa nchini kwa kiwango kikubwa kwa mwaka 2024 ikiwa ni jumla ya tani 2,302.37. Hayo yameelezwa mbele ya waandishi wa Habari jijini Dodoma na  William Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu)  “leo June 23,2025 amesema kuwa”kati ya hizo,…

Read More

Warioba awasha moto mwafaka wa INEC, Chadema

Dar es Salaam. Jawabu la swali kuhusu mwafaka kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, linatafutwa chini ya usimamizi wa Jaji Joseph Warioba na wazee wenzake. Hatua hiyo imekuja baada ya Chadema kutohudhuria kikao wala kusaini kanuni hizo ilipoalikwa pamoja…

Read More