Baraza la Usalama lasikiliza kuhusu umuhimu unaoendelea kukomesha ghasia mashariki mwa DR Congo – Global Issues

Bintou Keita, ambaye pia anaongoza Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kuleta Utulivu nchini DRC, unaojulikana kama MONUSCOiliripoti juu ya kukosekana kwa utulivu katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Ituri, hasa operesheni za makundi manne yenye silaha: ADF, M23, CODECO na Zaire. Alipongeza juhudi za kukomesha ghasia huko na katika eneo pana, akiangazia juhudi za…

Read More

Waziri asimulia alivyosaidiwa kusomeshwa na Sokoine

Arusha. “Siku zote nimekuwa nikiamini huyu baba mzalendo wa kweli amekuwa na dhamana kubwa katika maisha yangu, naona Mungu alimtuma ninyanyuke katika familia yetu ya watoto saba,  hakuna mwingine aliyeenda shule zaidi yangu.” Ni nadra kwa kiongozi ambaye amepata mafanikio ya kielimu, kiuchumi na kisiasa kuelezea mapito aliyopitia, lakini si kwa Naibu Waziri wa Madini,…

Read More

DG TCAA AHUDHURIA TUZO ZA WANAFUNZI BORA ZA DIT JIJINI DSM

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bw.Salim Msangi amesema taasisi yake itafanya mashirikiano na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam(DIT), ili kupata watalaam katika Usafiri wa Anga nchini.a Mkurugenzi Mkuu Mkuu Msangi ameyasema hayo Desemba 4,2024 wakati akitoa salamu za TCAA katika hafla ya kutoa tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika…

Read More

Gomondi: Hii Singida bado sana!

KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema licha ya ushindi wa timu hiyo wa mabao 2-1 dhidi ya Kenya Police katika mashindano ya Kombe la Cecafa Kagame, bado kuna maeneo muhimu ambayo timu inahitaji kuboresha ili kuwa bora zaidi. Gamondi ambaye anatumia mashindano hayo kama sehemu ya maandalizi ya msimu ujao, alisema mechi hiyo…

Read More