RC PWANI AHIMIZA MAENDELEO ZAIDI MJI WA KIBAHA

  Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akizungumza  kwenye kikao hicho Baadhi ya Madiwani  walishiriki kwenye kikao hicho. Mwenyekiti  wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mussa Ndomba  akifafanua jambo. Na Khadija Kalili , Michuzi Tv MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge ametoa wito kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha kutobweteka na hati…

Read More

Mawaziri washambulia hoja za kamati

Dodoma. Mawaziri wameshambulia kujibu hoja za wabunge, huku Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo akitaja mikakati ya kutatua changamoto ya ajali nchini. Hoja hizo zilitolewa na wabunge wakati wakiwasilisha na kuchangia taarifa za kamati za Kudumu za Viwanda, Biashara, Kilimo, Uvuvi na Mifugo na ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama…

Read More

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA AAGIZA UANDIKISHAJI WA WANACHAMA KUTOKA NGAZI YA SHINA HADI TAIFA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, John Mongella, ametoa maagizo maalum kwa viongozi wa chama hicho, akisisitiza umuhimu wa uandikishaji wa wanachama kuanzia ngazi ya shina hadi taifa. Mongella alitoa maagizo haya alipomtembelea Balozi wa Shina namba 3, Safina Masanja Kitundu, katika tawi la Buduhe, Halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga. Mongella amesema kuwa CCM ni…

Read More

Youssouph Dabo apewa “THANK YOU”

Baada ya majadiliano makali kwenye kikao cha dharura, bodi ya Azam FC imefikia maamuzi ya kuliondoa benchi lote la ufundi chini ya kocha Yousouph Dabo. Muda wowote kuanzia sasa taarifa rasmi itatoka na kinachosubiriwa ni  kumalizika kwa taratibu za kimikataba ili kila upande upate kinachostahili. Dabo ataondoka na wasaidizi wake watano ambao ni kocha msaidizi…

Read More