WAZIRI SILAA AITAKA POSTA KUONGEZA UFANISI NA UBORA WA HUDUMA
▪️Yatakiwa kuchangamkia fursa mpya za usafirishaji ▪️Yatakiwa kuhakikisha mifumo yake ya utendaji inasomana Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amelitaka Shirika la Posta Tanzania kuongeza ufanisi na ubunifu katika utendaji wake ili kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi zinazokidgi matarajio yao. Ameyasema hayo leo tarehe 07 Oktoba, 2024…