ETDCO YAENDELEA KUTAFUTA FURSA JAPAN

Uongozi wa Kampuni ya ETDCO, Toyota Tsusho Corporation, Afisa kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Japani, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya miundombinu ya umeme. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi za Toyota Tsusho Corporation, jijini Tokyo, Japan. Uongozi wa Kampuni ya ETDCO, Toyota Tsusho Corporation,…

Read More

Namba zamkatisha tamaa Kocha Azam

KIPIGO cha bao 1-0 ilichokipata Azam mbele ya Singida Black Stars, kimemfanya kocha wa timu hiyo, Rachid Taoussi kuonyesha dalili za waziwazi amekata tamaa. Azam kwa sasa ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 51 baada ya kucheza mechi 25 na Taoussi alisema matumaini ya wao kutwaa ubingwa msimu huu yamevunjika…

Read More

Penalti zaibeba Miembeni Yamle Yamle Cup

MIEMBENI imefuzu robo fainali ya michuano ya Yamle Yamle Cup inayoendelea kisiwani Unguja kufuatia ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Welezo City. Mchezo huo uliopigwa jana Jumatatu saa 12:30 jioni kwenye Uwanja wa Mao A, dakika tisini matokeo yalikuwa sare ya mabao 2-2. Wakasa Mbaraka aliitanguliza Miembeni kwa kufunga mabao mawili dakika ya 2 na…

Read More

Simba yamfuata beki mpya Yanga

DILI la Simba limebuma baada ya kutaka kumnyampia beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka, ambaye hawakujua kama tayari ameshamalizana na Yanga. Boka ni mchezaji wa kwanza kusaini Yanga baada ya uongozi wake kukubali kumuuza mchezaji huyo ambaye alibakiza mkataba wa mwaka mmoja na kikosi hicho. Kupitia Mwanaspoti iliandikwa kuwa, Mkongomani huyo atakwenda kuwa mrithi wa…

Read More

RAIS SAMIA AFUNGUA UCHUMI WA NCHI KWA KUKARIBISHA WAWEKEZAJI NCHINI-ULEGA

    Na Mwamvua Mwinyi, Pwani  Disemba 22,2024 WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa kwa mwaka 2024, mitaji ya uwekezaji wa kimataifa iliyoingia nchini imeongezeka kwa asilimia 26, ikiwa ni jumla ya dola bilioni 42.1 za Kimarekani. Akizungumza katika mkutano uliowakutanisha viongozi mbalimbali, wawekezaji, na wananchi katika stendi ya zamani ya Mailmoja, Kibaha, Mwishoni…

Read More

HAMZA TANDIKO AENDELEA KUWASHA MOTO WA KAMPENI MAGANZO

Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Hamza Yusuph Tandiko. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Kampeni za Uchaguzi Mkuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeendelea kushika kasi, ambapo Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Hamza Yusuph Tandiko, ameendelea kunadi Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030 akisisitiza kuwa ni…

Read More

Mama asimulia mwanawe anayedaiwa kuuawa kwa kipigo, Polisi yawashikilia watuhumiwa

Bukombe. “Mama nimepigwa sana… mama nisaidie, sijaleta vitu, nimekuja mama yangu unisaidie, nakufa nisaidie.” Hayo yalikuwa maneno ya mwisho ya Enock Mhangwa (25), mkazi wa Kijiji cha Uyovu wilayani Bukombe mkoani Geita, akimuomba msaada mama yake mzazi alipofikishwa nyumbani kwao akiwa taabani. Enock ambaye picha yake mjongeo ilienea kwenye mitandao ya kijamii jana, alionekana akipigwa…

Read More