NBC yakabidhi gari la BMW X1 kwa mshindi kampeni ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako’
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi zawadi ya gari aina BMW X1 kwa Massana Gibril, mkazi wa jijini Arusha aliyeibuka mshindi wa zawadi kuu ya kampeni ya ’Shinda mechi zako Kinamna yako’ inayoendeshwa na benki hiyo ikilenga kuchochea ukuaji wa uchumi miongoni mwa wateja wake kupitia uwekaji wa akiba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…