Namba za Azam siku 108 bila Dube

ZIMETIMIA siku 108 ambazo ni sawa na miezi mitatu bila uwepo wa mshambuliaji Prince Dube ndani ya kikosi cha Azam FC, lakini kinachofurahisha ni Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuendelea kukimbiza tuzo ya ufungaji bora ya Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 15 sawa na Aziz KI wa Yanga. Mara ya mwisho kwa Dube kuitumikia Azam…

Read More

Ramovic abuni mbinu za kuimaliza MC Alger Kwa Mkapa

YANGA imekamilisha kazi ya kwanza ugenini kwa kuichapa Al Hila bao 1-0 juzi Jumapili, kazi ya pili iliyobaki ni kuichapa MC Alger Jumamosi ya wiki hii pale Benjamin Mkapa, kisha kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kocha wa Yanga, Sead Ramovic ameuona ugumu uliopo mbele yake kuikabili MC Alger, hivyo ametaja mambo ambayo…

Read More

Vyuo nje ya nchi kutoa ufadhili wanafunzi wa Tanzania

-Fursa za elimu ya juu kimataifa sasa kupatikana Dar Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link inatarajia kuwakutanisha wanafunzi wa Tanzania na vyuo vikuu zaidi ya 20 kutoka nchi mbalimbali duniani katika maonyesho jijini Dar es Salaam ambapo wanafunzi watapata fursa ya kujua fursa za kusomea kozi mbalimbali kwenye vyuo…

Read More

Fadlu abeba mbadala wa Tshabalala

LICHA ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Namungo, beki wa kushoto Anthony Mligo yupo katika rada za Kocha wa Simba, Fadlu Davids anayedaiwa kuwaambia mabosi wa timu hiyo kuwa anahitaji huduma ya kijana huyo mwenye miaka 20, kiasi cha kumuita mazoezini amuone zaidi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Simba, siku ya Alhamisi iliyopita,…

Read More

Wajane walia na Mila potofu za kuwakandamiza

Mkuu wa mkoa Morogoro Adam Malima amesema serikali itaendelea kulinda na kutetea haki za wajane Ili waendele kulea familia zao. Rc Malima ameyasema hayo Mjini Morogoro kwenye maadhimisho ya Siku ya wajane Duniani ambapo kitaifa yameadhimishwa Mkoani Morogoro ambapo amesema kumekua na tabia ya baadhi ya watu kuchukua Mali pamoja na kuwafukuza wanawake kinguvu baada…

Read More

Wasira azua mvutano mpya na Chadema mabadiliko ya Katiba

Dodoma. Unaweza  ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba  kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa hoja ya kutaka mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu  wa Oktoba 2025 imechelewa. Wasira ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Januari 23, 2025 jijini…

Read More