Msidanganyike na Maisha Yangu ya Mitandaoni – Global Publishers
Mrembo maarufu na msanii wa mitindo, Surraiya Rimoy almaarufu kama Sanchi, ameweka wazi kuwa maisha anayoyaonesha kwenye mitandao ya kijamii yasichukuliwe kama taswira halisi ya maisha yake binafsi. Sanchi amesema kumekuwa na dhana potofu kutoka kwa baadhi ya watu wanaoamini kuwa kumuona mara kwa mara mtandaoni ni rahisi kumpata au kumkaribia, jambo…