Naibu Waziri Kihenzile Ashiriki Mkutano wa Uchukuzi Afrika Kusini

Bakari Mahundu March 19, 2026 0 Comments Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Masuala ya Uchukuzi (NCT) uliofanyika katika Ukumbi wa Gallagher Estate, Johannesburg, Afrika Kusini. Mkutano huo ulifunguliwa na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. Sambamba na ushiriki huo, Naibu Waziri pia amehudhuria Mjadala wa Mawaziri wa Uchukuzi ukiwa…

Read More

NAIBU WAZIRI UCHUKUZI DAVID KIHENZILE ASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA MASUALA YA UCHUKUZI NCHINI AFRIKA KUSINI

Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile, ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa masuala ya Uchukuzi (NCT), mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Gallagher Estate, uliopo Johannesburg, Afrika Kusini. Mkutano huo ulifunguliwa na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. Sambamba na ushiriki huo, Naibu Waziri pia ameshiriki katika Mjadala wa Mawaziri wa Uchukuzi ukiwa na Mada isemayo: “Leadership…

Read More

Vikwazo kwa zao la tende vyawekwa hadharani, wanaume wakitajwa kuongeza thamani

Dodoma. Changamoto ya upatikanaji wa miche bora ya tende pamoja na masharti yanayowekwa na nchi zinazolima zao hilo zimetajwa kuwa miongoni mwa vikwazo vinavyokwamisha ukuaji wa kilimo cha tende nchini. Kutokana na vikwazo hivyo, wakulima wengi wameendelea kutumia mbegu za zamani, ambazo zinaelezwa kuwa hazina tija katika kipindi hiki. Hali hii inajitokeza wakati mahitaji ya…

Read More

Tengeneza Pesa Mechi za Europa Leo

JE, unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa. Freiburg atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Genk ambapo mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana, mwenyeji alipasuka. Leo hii anahitaji kulipa kisasi huku Meridianbet wakiipa mechi…

Read More

KWAHANI FC MABINGWA MASAUNI CUP

Na; Mwandishi Wetu, Unguja TIMUya Kwahani FC imetwaa ubingwa wa Masauni Cup baada ya kuichapa Mwembeladu FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati 1-0 baada ya sare ya bao 1-1 katika muda wa kawaida na kujinyakulia kombe pamoja na kitita cha shilingi milioni tano. Kwahani FC ndio walitangulia kupata bao katika muda wa kawaida lililofungwa…

Read More

HELLEN NKALANG’ANGO: Mama anayepambania kuona watoto wenye uziwi wakipata elimu

Dar es Salaam. “Mwaka 1980 nilijifungua mtoto ambaye baadaye niligundua hasikuu. Nilipohitaji kumpeleka shule, nilikumbana na changamoto kubwa kwa kuwa mkoani Morogoro hakukuwa na shule iliyoweza kumpokea kutokana na hali yake ua uziwi. Shule pekee niliyoipata ilikuwa ya Buguruni Viziwi, iliyopo Dar es Salaam,” anaanza kusimulia Hellen Nkalang’ango. Ameyasema hayo baada ya kufanya mahojiano na…

Read More

Bandari mpya Kisiwa Mgao itakavyoinua uchumi Kusini

Kelele za malori mazito yaliyokuwa yakibeba makaa ya mawe na mizigo mingine mikubwa zimekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa wakazi wa Mtwara kwa miaka kadhaa sasa. Lakini hali hiyo inatarajiwa kubadilika kadri ujenzi wa bandari mpya maalumu ya mizigo mikubwa katika Kisiwa cha Mgao unavyoendelea kushika kasi. Mradi huo unaotekelezwa na Mamlaka ya…

Read More

Bashiri na Meridianbet Mechi za UEFA Leo

JE, unajua kuwa siku ya leo unaweza ukaibuka na pesa ndefu ukibashiri mechi zako zote na Meridianbet?. Timu zinawania nafasi ya kufuzu hatua ya Robo Fainali zinakungoja. Jisajili sasa. Mechi itakayoanza ni hii ya Barcelona vs Newcastle United huku mechi ya kwanza walipokutana walitoa sare, ambapo vijana wa Hans Flick wakkisawazisha bado dakika za mwaisho…

Read More