
Kirusi kinachowakimbiza wanafunzi soma la sayansi chabainika
Mbeya. Ukosefu wa maabara na vifaa vya kisayansi vimetajwa kupunguza idadi ya wanafunzi wa masomo ya sayansi huku Serikali ikiombwa kuongeza nguvu ili kupata wataalamu wenye ujuzi kwa maisha ya sasa na ya baadaye. Kauli hiyo imetolewa jana Ijumaa Mei 16, 2025 na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ivumwe ya jijini Mbeya wakati wa ziara…