MKOPO WA DKT SAMIA NI SALAMA KWA WATANZANIA

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda(MCC) amewataka wanawake wafanyabiashara wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuachana na *mikopo ya kausha damu, ujinga na mwendokasi* inayowanyanyasa na kuwadhalikisha wanawake kutokana na muda wa marejesho na kiwango cha riba kuwa kikubwa na hivyo badala ya kujikwamua kiuchumi inaongeza umasikini zaidi. Akizungumza katika Uzinduzi wa Umoja…

Read More

Mtoto wa Mjini – 12

NDANI ya ofisi hiyo, afisa aliyefuatana naye ambaye alijitambulisha kwake kwa jina la Aidan alimkabidhi Muddy kila kitu alichokuwa amekikabidhi kwa maafisa uhamiaji waliomkamata. Muddy aliviangalia vitu alivyokabidhiwa, kila kitu kilikuwepo kasoro kitu kimoja tu ambacho hakuwa amekiona.Wakati akiendelea kupekua vitu vyake, Aidan alimtaka Muddy amfuate hadi katika chumba kingine na walipofika katika chumba hicho, afasi…

Read More

MKURUGENZI MTENDAJI WA CRDB ATETA NA MAAFISA WA SERENGETI BREWERIES KATIKA MAONESHO YA NANE NANE DODOMA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, pamoja na maafisa waandamizi wa benki hiyo, walifanya ziara maalum katika banda la Serengeti Breweries Limited kwenye viwanja vya Nane Nane mjini Dodoma leo. Ziara hiyo ililenga kujionea na kujifunza zaidi kuhusu shughuli zinazofanywa na kampuni hiyo katika uzalishaji wa bia, hasa kupitia mazao wanayonunua moja kwa…

Read More

Sababu Lissu kuomba muda zaidi, Mahakama yatoa kauli

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu ameiomba Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, impe muda apitie uamuzi wa kesi zilizowasilishwa na upande wa mashtaka walipojibu hoja za pingamizi lake alizowasilisha katika kesi ya jinai inayomkabili. ‎Katika kesi hiyo, Lissu anakabiliwa na shtaka la uhaini kinyume cha kifungu…

Read More

Kama Cop30 inakaribia, tunahitaji suluhisho zote za hali ya hewa – maswala ya ulimwengu

Mkutano wa 30 wa “Mkutano wa Vyama” (COP30) kwa Mkutano wa Mfumo wa UN juu ya Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC) utafanyika kutoka 6-21 Novemba 2025 huko Belém, Brazil. Itakusanya pamoja viongozi wa ulimwengu, wanasayansi, mashirika yasiyokuwa ya kiserikali, na asasi za kiraia kujadili hatua za kipaumbele za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. COP30…

Read More