“SEKTA YA NISHATI MANENO KIDOGO VITENDO ZAIDI” – DKT. BITEKO – MWANAHARAKATI MZALENDO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe, Dkt. Doto Biteko amewakumbusha Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuiishi Kauli Mbiu ya Sekta ya Nishati ambayo ni Maneno Kidogo Vitendo zaidi ili kuweza kutoa huduma iliyobora kwa wananchi. Amesema hayo leo tarehe 27 Julai 2024, wakati Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi…