Ramovic abuni mbinu za kuimaliza MC Alger Kwa Mkapa
YANGA imekamilisha kazi ya kwanza ugenini kwa kuichapa Al Hila bao 1-0 juzi Jumapili, kazi ya pili iliyobaki ni kuichapa MC Alger Jumamosi ya wiki hii pale Benjamin Mkapa, kisha kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kocha wa Yanga, Sead Ramovic ameuona ugumu uliopo mbele yake kuikabili MC Alger, hivyo ametaja mambo ambayo…