FCC YATAKA ELIMU YA UCHUNGUZI WA BIDHAA BANDIA KUINGIZWA KATIKA MITAALA YA VYUO
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC Bw.Salvator Chuwa ,akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 20,2025 jijini Dodoma kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma. …. TUME ya Ushindani (FCC) imependekeza kuanzishwa kwa kozi maalum katika vyuo vya elimu ya juu nchini…