DOTTO BITEKO AITAKA TLS KUENDELEZA MSHIKAMANO NA KUISHAURI SERIKALI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania, Dotto Biteko, ametoa wito kwa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kuchagua viongozi watakaolinda mshikamano wa chama hicho. Aliwasihi wanasheria hao kuchagua viongozi wenye kiu ya kuishauri na kuikosoa serikali, jambo ambalo TLS imekuwa ikilifanya. “TLS mnalo jukumu kama chama kuchagua viongozi watakaoendeleza mshikamano wa chama chenu, watakaokuwa na kiu…