Yanga yapewa nondo za CAF
KWA sasa Yanga iko katika hatua muhimu kuelekea mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya mabingwa wa Sudan, Al-Hilal Omdurman. Katika kujiandaa kwa mchezo huo, wamevujishiwa mbinu na rafiki wa karibu wa kocha wa Al-Hilal, Florent Ibenge. Mwinyi Zahera, aliyewahi kufanya kazi kwa karibu na Ibenge wakati…