Madaktari watoa neno matumizi ya vilainishi kwa wanawake

Dar es Salaam. Kama ni mtumaji wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakubaliana na mimi juu ya ongezeko la watu wanaouza vilaini (lubricant) kwa ajili ya kusaidia wanawake wasipate michubuko wakati wa tendo la ndoa. Kila mmoja akiuza bidhaa ya aina yake, njia tofauti zimekuwa zikitumika katika kuwashawishi wateja kununua vilainishi hivyo, ili waepuke maambukizi,…

Read More

Askari Kinapa, mgambo matatani wakituhumiwa kwa mauaji

Moshi. Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linawashikilia askari wawili wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa) na mgambo kwa tuhuma za kumuua kwa risasi kijana Octovania Temba. Temba ni mkazi wa Kijiji cha Komela kilichopo Kata ya Marangu Magharibi, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro. Wakazi wa Kijiji cha Komela kilichopo Kata ya Marangu Magharibi, wilayani…

Read More

TWFA Mwanza yapata mabosi wapya

SOPHIA Tigalyoma amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Chama cha Soka la Wanawake (TWFA) Mkoa wa Mwanza akimbwaga aliyekuwa mtetezi wa kiti hicho Sophia Makilagi. Tigalyoma amerejea kwenye nafasi hiyo tena baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi huo uliofanyikwa leo Jumamosi kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia saa 4:00 hadi 4:50 asubuhi kwa…

Read More

Dubois kumrudisha AJ kwa Tyson, Usyk

WIKIENDI iliyopita ulitokea msuguano mkali kati ya Anthony Joshua (AJ) na Daniel Dubois kiasi cha kutaka kuzichapa ‘kavukavu’ mbele ya wasimamizi wao, uliamsha hisia zaidi za pambano lijalo, Septemba 21, mwaka huu. Waingereza hao watapigana katika Uwanjani wa Wembley siku hiyo kuwania mkanda wa IBF ambao upo mikononi mwa Oleksandr Usyk ambaye imemlazimu auachie ushindaniwe…

Read More

Walimu wengine 189 waajiriwa, majina haya hapa

Dar es Salaam. Serikali imewaita kazini walimu wapya 189 ambao walifanyiwa usaili na baadhi waliopo katika kanzidata. Walimu hao wameitwa kazini ikiwa ni siku tisa tangu Serikali iwaite kazini walimu wengine wapya 319 wa fani mbalimbali, ambapo halmashauri saba zilinufaika na ingizo hilo jipya. Tangazo hilo limetolewa jana Ijumaa Machi 21, 2025 na Katibu wa…

Read More