Meneja wa Mbowe aeleza mitihani ya Lissu Chadema
Dar es Salaam. Siku chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uongozi mpya chini ya Tundu Lissu unakabiliwa na mambo matatu, ikiwemo kuvunja makundi na kukipeleka chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Mambo hayo yamebainishwa na Daniel Naftari, aliyekuwa Mratibu wa Kampeni za Freeman Mbowe, aliyekiongoza chama…