
Ajali yaua watu tisa Dodoma, mtoto mchanga anusurika
Dodoma. Watu tisa akiwamo dereva wa basi la abiria la Kampuni ya Abuu Trans, wamefariki dunia huku wengine 16 wakijeruhiwa baada ya basi linalofanya safari zake kati ya Dodoma na Kondoa, kupata ajali likitokea Kondoa kwenda Dodoma Mjini. Chanzo cha ajali hiyo kinaelezwa ni dereva wa Fuso kutaka kulipita basi bila kuchukua tahadhari na kusababisha…