
Hizi hapa mbinu za biashara mazao ya uvuvi
Dar es Salaam. Wajasiriamali 30 wa mazao ya uvuvi wakiwemo wachakataji na wauzaji wanapewa mbinu za kuboresha mazao ya uvuvi ili kupata masoko ya uhakika, ikiwa pamoja na udhibiti wa hatari za biashara, usafi na usalama wa chakula. Mbinu nyingine ni pamoja na haki miliki na usajili wa jina la biashara, uundaji na usimamizi wa…