MAJALIWA AIAGIZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUWEKA VIGEZO VYA WAZI VYA UTEUZI NA UPOKEAJI WA TUZO ZA UHIFADHI

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuhakikisha inaweka vigezo vya wazi na vinavyojulikana vya uteuzi na upokeaji wa tuzo za uhifadhi na Utalii. Vigezo hivyo, pamoja na mambo mengine viwe vinavyozingatia ubora katika uhifadhi wa mazingira, huduma za utalii, usimamizi wa hifadhi za Wanyama na uendelezaji wa maeneo ya utalii. Maagizo…

Read More

Rupia atoa tahadhari kwa mastaa Singida Black Stars

WAKATI kikosi cha Singida Black Stars kikijiandaa na mchezo wa Novemba 24 mwaka huu ugenini dhidi ya Tabora United kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, mshambuliaji wa timu hiyo, Elvis Rupia amesema wanahitaji kuonyesha bado wako katika mbio zao za ubingwa. Kauli ya nyota huyo raia wa Kenya imejiri baada ya kikosi hicho kushindwa kupata…

Read More

Ukweli kuhusu matumizi ya maji ya bamia

Dar es Salaam. Jamii imekuwa na mtazamo tofauti kuhusu matumizi ya bamia, baadhi wakiamini kwa kutumia maji yake wanaweza kuongeza uteute kwenye magoti. Mbali ya hao, wapo wanaoamini kwa kutumia maji ya bamia wanaweza kuongeza uteute ukeni. Hata hivyo, ukweli ni kuwa kutokana na utajiri wa vitamini na viambata vilivyomo ndani ya bamia, huchangia kuimarisha…

Read More

Takwimu zaonyesha umasikini waongezeka Zanzibar

Unguja. Wakati takwimu zikionyesha kiwango cha umasikini kuongezeka Zanzibar, Serikali imeainisha hatua inazochukua kukabiliana na changamoto hiyo. Kwa mujibu wa Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar, kwa mwaka 2019/20 tathmini ya hali ya umasikini iliainisha wa mahitaji ya msingi ni asilimia 25.7 na umasikini wa chakula ni asilimia 9.3, huku wilaya nne za mikoa ya…

Read More

WANANCHI MNAOTAPELIWA KUPITIA MTANDAO YA SIMU TOENI TAARIFA KWA MAMLAKA HUSIKA-WAZIRI SILAA

Na Pamela Mollel,Arusha Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya habari,Jerry Silaa amewataka wananchi wanaotapelewa kwa njia ya mitandao ya simu kutoa taarifaa katika mamlaka husika ili hatua kali zaidi zichukuliwe ili kukomesha utapeli huo Alitoa rai hiyo jijini Arusha Februari 21,2025 katika mkutano maalumu na waandishi wa habari kuhusu kampeni kabambe ya “SITAPELIKI “inayolenga kutoa…

Read More

Ving’ora, vimulimuli janga barabarani | Mwananchi

Dar es Salaam. Januari 26-28, 2025 baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam yalikuwa kwenye mwonekano tofauti na ule uliozoeleka kwa muda mrefu. Barabara takribani tisa za kuingia katikati ya jiji zilifungwa kwa muda ndani ya siku sita huku ulinzi ukiimarishwa kila kona. Mabadiliko hayo yalilenga kuhakikisha  usalama na utulivu kwa wageni waliohudhuria…

Read More