Modi ziarani nchini Ukraine kwa mazungumzo na Zelensky – DW – 23.08.2024
Modi aliwasili mjini Kyiv mapema leo asubuhi na kulakiwa na maafisa wa Ukraine kwenye kituo kikuu cha treni akitokea Poland kabla ya kuelekea kwenye mazungumzo na Rais Zelensky. Mchana huu alikaribishwa na Zelensky kwenye ikulu ya nchi hiyo tayari kuanza mazungumzo ambayo maafisa wa pande zote mbili wanasema yatajikita katika kuimarisha mahusiano ya kiuchumi, ulinzi…