Kennedy aongezwa mtu Singida | Mwanaspoti

UONGOZI wa Singida Black Stars, umemwongezea nguvu nahodha wa klabu hiyo, Kennedy Juma baada ya kuwa kwenye hatua ya mwisho kukamilisha usajili wa Vedastus Msinde. Msinde alikuwa beki wa kati wa TMA inayoshiriki Championship na sasa ameitwa kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinachojiandaa na michuano ya CHAN mwaka huu. Chanzo cha…

Read More

Mangalo ndo basi tena hadi msimu ujao!

BEKI wa zamani wa Biashara United na Singida Foutain Gate, Abdulmajid Mangalo amesema licha ya kuwa nje ya uwanja, lakini anatumia muda huu kuwafuatilia wachezaji kujifunza vitu kwa ajili kurejea msimu ujao. Mangalo aliyekuwa tegemeo katika kikosi cha Singida Fountain Gate kwa sasa yuko nje ya uwanja akiendelea kuuguza jeraha la goti na matarajio yake…

Read More

Utaalamu hafifu kikwazo utambuzi wa mapema wa saratani -4

Dar es Salaam. Utaalamu hafifu kwa watoa huduma za afya ngazi za msingi na uhaba wa vifaatiba kubaini ugonjwa wa saratani mapema, ni sababu ya wengi kuanza tiba kwa kuchelewa. Changamoto nyingine inatajwa ni kutokutolewa rufaa mapema inapotokea mgonjwa ana viashiria vya saratani kukua, kusambaa mwilini au kuugua mara kwa mara. Serikali imekiri kuwapo kwa…

Read More

Dube aikosha Yanga, atabiriwa makubwa

MSHAMBULIAJI Prince Dube ameshaliamsha balaa baada ya kutupia kwa kasi tena akianza na hat trick kwenye ligi, hatua ambayo imekuwa faraja pia kwa mastaa wenzake ndani ya kikosi hicho wakisema jamaa atafunga sana. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, nahodha msaidizi wa Yanga beki Dickson Job ameliambia Mwanaspoti kwamba kila mmoja ndani ya kikosi hicho alikuwa anasubiria…

Read More

Wahitimu UBA wahimizwa kuimarisha ujuzi wa kidijitali

Kigoma. Wahitimu na wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini wanaosoma fani ya uandishi wa habari, wameshauriwa kuongeza ujuzi wao katika masuala ya kidijitali, ikiwemo matumizi sahihi ya akili mnemba (AI), ili kuepusha matumizi mabaya ya teknolojia yanayoweza kupotosha umma. Rai hiyo imetolewa leo Alhamisi, Desemba 18, 2025 na Mkuu wa Maudhui ya Mtandaoni wa Azam Media,…

Read More

Hamis Mabetto sasa ni Mwananchi

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga, Haji Manara ‘Bugatti’ amesema amemsilimisha rasmi Mwanamitindo maarufu nchini, Hamisa Mobetto kuwa shabiki wa timu hiyo ya Jangwani kutoka Msimbazi. Hatua hiyo imejiri wakati wa tamasha la kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’ ambapo msanii huyo alivalishwa jezi ya Mwananchi na Stephane Aziz KI aliyeitwa jukwaani na Haji Manara. Katika tukio…

Read More