Mechi kubwa, Odds kubwa – Mwanahalisi Online

  Jumamosi ya kutusua na Meridianbet imefika na leo hii una nafasi kubwa kabisa ya kuondoka na mamilioni ya pesa kwani ligi zimerejea na odds za kibabe zinakusubiri wewe tuu. Ligi kuu ya Uingereza EPL leo hii mapema kabisa saa 9:30 mchana Chelsea baada ya kutoa sare mbili mfululizo, leo hii atakuwa mgeni wa Leicester…

Read More

Bella, Konde Boy hawana jambo dogo

MASHABIKI wa Yanga mzuka umepanda wakati Kilele cha Mwananchi kitakapohitimishwa kesho Kwa Mkapa, jijini Dar es Salaam huku shoo nzima ikiachwa chini ya Harmonize a.k.a Konde Boy akishirikiana na Christian Bella pamoja na wakali wengine kulipamba tamasha hilo la sita tangu liasisiwe mwaka 2019. Harmonize aliyeachia wimbo maalumu wa tamasha hilo, ataliamsha mapema pamoja na Mfalme…

Read More

Utaka adai angetoboa CHAN 2024

MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya taifa la Nigeria, John Utaka amejipigia debe kwa kusema kama angepewa nafasi ya kuiongoza timu hiyo kwenye mashindano ya CHAN 2024, asingeishia hatua ya makundi kama ilivyo kwa Éric Sékou Chelle. Nigeria chini ya Chelle imeweka rekodi mbovu, ikifungwa mechi mbili mfululizo katika hatua ya makundi, kwanza dhidi ya…

Read More

Gwiji Simba ampa ujanja Yakoub Suleiman

ENDAPO kama kipa wa Simba, Yakoub Suleiman atazingatia ushauri wa mkongwe katika nafasi hiyo, kocha Idd Pazi ‘Father’ basi huenda akairejesha Tanzania One baada ya Aishi Manula kusajiliwa Azam FC. Pazi aliwahi kuwa kipa Tanzania One enzi akiwa Simba alisema, kipa huyo mpya wa Simba aliyetua kutoka JKT Tanzania anatakiwa kuzingatia mazoezi ya timu na …

Read More

Taoussi aanza hesabu mpya | Mwanaspoti

KIKOSI cha Azam FC kimeanza mazoezi mapema wiki hii, ili kuijiandaa na lala salama ya Ligi Kuu Bara, huku kocha wa timu hiyo, Rachid Taoussi akisisitiza amewarejesha mapema mastaa wa timu hiyo ili kuhakikisha hesabu zake kwa duru la pili la ligi zinakaa sawa kuanzia Machi Mosi. Azam inayoshika nafasi ya tatu kwa sasa nyuma…

Read More