WANAWAKE WATOA WITO: SIASA ZA STAAHA NA HOJA ZIJENGE TAIFA
Na Mwandishi Wetu, Michuzi Tv ASASI za kiraia za wanawake zinazotetea haki na usawa wa kijinsia zimeitaka jamii na wadau wa siasa nchini kuhakikisha kipindi hiki cha kampeni na uchaguzi kinakuwa cha amani, heshima na hoja zenye kujenga taifa, badala ya kutumia lugha za kejeli, udhalilishaji au mashambulizi ya kibinafsi hasa kwa misingi ya kijinsia….