BALOZI LIBERATA MULAMULA ASHIRIKI MKUTANO WA AU ASISITIZA KUTOKOMEZA UKATILI KWA WANAWAKE NA WASICHANA

::::::: Mjumbe Maalum wa Wanawake, Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika, Mh. Balozi Liberata Mulamula ameshiriki Mkutano wa Taasisi ya Maendeleo ya Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) na Mkutano wa Umoja wa Afrika, (AU), uliohusisha viongozi mbalimbali huku akisisitiza Nchi hizo kusaini na kuridhia Mkataba wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana. Balozi Mulamula…

Read More

Wasiojulikana wajeruhi, watoweka na Sh20 milioni

Same. Watu wasiojulikana wamemvamia na kumjeruhi kwa mapanga Yusto Mapande, mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro. Mapande alijeruhiwa alipokuwa akiingia nyumbani kwake akitokea kwenye biashara zake, pia ameporwa zaidi ya Sh20 milioni zilizokuwa kwenye gari lake. Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni amethibitisha tukio hilo akisema limetokea jana Agosti 22,…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Mpanzu atulize mawenge anajua bolu

USAJILI ambao Simba iliufanya wa kumsajili Elie Mpanzu katika dirisha dogo la usajili ulikuwa gumzo kubwa nchini kutokana na jina ambalo mchezaji huyo kutoka DR Congo alikuwa nalo kabla hata hajaja. Ni jambo la kawaida kwa Watanzania kumpamba mtu hata kama hawajajiridhisha kwa kumtazama vya kutosha, wewe wape tu picha, maelezo wataandika wenyewe. Sasa Mpanzu…

Read More

UCHAMBUZI WA MJEMA: Tusipoamka kama taifa na kuukabili uchawa, utatupeleka kusikojulikana

Ninaona dhahiri tumeanza kuendekeza tabia ya uchawa uliopitiliza ambao kwangu nimeupa jina la ‘uchawa promax’, lakini ukweli ni kuwa una athari kubwa kwa taifa letu na polepole unaondoa uwajibikaji, maadili na uhalisia wa mambo. Hii tabia ambayo inataka kuwa kama fani,tulizoea kuiona katika kundi dogo katika jamii yetu na ilikuwa ni aibu, sasa inavuka mipaka…

Read More

Ukosefu wa chakula unaongezeka barani Afrika, ukianguka Amerika ya Kusini na Karibiani – maswala ya ulimwengu

Kuna kupungua kwa wastani kwa njaa tangu 2022. Wakati maendeleo yanaonekana katika Asia na Amerika Kusini, njaa inaongezeka barani Afrika na Magharibi mwa Asia. Mikopo: Joyce Chimbi/IPS na Joyce Chimbi (Nairobi) Alhamisi, Septemba 25, 2025 Huduma ya waandishi wa habari NAIROBI, Septemba 25 (IPS) – Ripoti ya Usalama wa Chakula na Lishe ya 2025 ulimwenguni…

Read More

Staa Simba apigilia msumari, amchomoa Camara kikosini

MOUSSA Camara ndiye kipa namba moja wa kikosi cha Simba ambapo kiwango alichokionyesha kwenye Ligi Kuu Bara 2024-2025 ukiwa ni wa kwanza kwake, anawekwa levo moja na Djigui Diarra wa Yanga kufuatia msimu uliopita kufukuzana kwa ukaribu kwenye clean sheet. Hata hivyo, aliyewahi kuwa beki wa Simba, Salim Mbonde, amemtaja Diarra kuwa namba moja mbele…

Read More

Lebron, Mwanawe watakavyokipiga NBA | Mwanaspoti

REKODI mpya imewekwa kwenye mchezo wa mpira wa kikapu duniani, na hii imetokea kwenye Ligi ya NBA, baada ya jana Ijumaa, Los Angeles Lakers kumtambulisha kikosini mtoto wa nyota wa timu hiyo, LeBron James aitwaye, Bronny James kama mchezaji mpya wa timu hiyo msimu ujao. Bronny alizua gumzo baada ya kuchaguliwa kutoka katika drafti namba…

Read More

ONGEA NA BETTIE: Hapa kuna ndoa au ananihadaa?

Nina uhusiano na mwanamke kwa miaka mitatu na tulipanga mwishoni mwa mwaka huu nikatoe barua kwao na taratibu nyingine ili mapema mwakani tufunge ndoa. Ila nimepata taarifa ana mume na hajawahi kuniambia, si taarifa tu bali hadi picha wakiwa wanafunga ndoa kanisani nimeonyeshwa, ninashindwa kumuuliza atasema ninasikiliza maneno ya watu na ninampenda nahofia kumkosa iwapo…

Read More