Fei Toto aipa pigo Azam FC
KIKOSI cha Azam kipo Bukoba kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, lakini kikiwa na pigo baada ya kiungo mshambuliaji nyota, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kutokuwepo kutokana na kuwa majeruhi, huku kocha akidai kuvurugwa kwa kumkosa. Inaelezwa nyota huyo anayeongoza kwa asisti katika ligi akiwa nazo 13 ameshindwa kuambatana na…