Chaumma: Wanawake msilemazwe na viti maalumu, kapambaneni kwenye masanduku
Dar es Salaam. Katibu Mkuu Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu amesema wanawake wa chama hicho wana uwezo wa kugombea nafasi mbalimbali za udiwani, uwakilishi na ubunge hivyo hawapaswi kulemaa na viti maalumu. Ikumbukwe nafasi ya viti maalumu ni fursa kwa wanawake katika kushiriki siasa ambapo nafasi hiyo inahusisha uwakilishi katika Bunge la…