Watatu kortini wakidaiwa kusafirisha kilo 1,500 za bangi

Dar es Salaam. Wakazi watatu jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakabiliwa na mashtaka mawili ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi, yenye uzito wa kilo 1,501. Katika kesi ya kwanza, Mohamed Bakari (40) na Suleshi Mhairo (36), wakazi wa Mabibo wamesomewa shtaka la kusafirisha kilo 1,350 za bangi….

Read More

WANANCHI WATAKIWA KUUNGA MKONO JITIHADA ZINAZOFANYWA NA THBUB

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Eliakim Maswi, akizungumza katika hafla fupi ya uzinduzi wa basi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), itakalowasaidia watumishi wake katika utoaji wa huduma kwa wananchi hafla uliofanyika leo Septemba 13,2024 jijini Dodoma. Mwenyekiti wa THBUB Jaji mstaafu Mathew Mwaimu,akizungumza katika hafla fupi ya uzinduzi wa…

Read More

Mauzinde akatwa masikio na kutelekezwa msituni

Unguja. Hussein Abdala (30) maarufu Mauzinde mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi visiwani Zanzibar amekatwa masikio yote mawili na kutelekezwa msituni. Tukio hilo limetokea  jana Jumapili Juni 2, 2024 saa 3 usiku eneo la Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu leo Juni 3, 2024…

Read More

Wananchi Ntunduwaro wanufaika na Makaa ya Mawe

– Wajengewa barabara, Zahanati – MILCOAL yatoa fursa za ajira UZALISHAJI wa madini ya makaa ya mawe katika kijiji cha Ntunduwaro kata ya Ruanda wilayani Mbinga ni chanzo kikubwa cha mapato ya Serikali na maendeleo ya wananchi wa kata hiyo. Akizungumza katika mahojiano maalum, Meneja wa mgodi wa Market Insight Limited (MILCOAL), Atit Mehta amesema…

Read More

Viongozi watano Chadema Mwanza wakamatwa, sababu zatajwa

Mwanza. ‎Makada watano wa Chama cha Demokrasia  na Maendeleo (Chadema) wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuchana mabango ya wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM). ‎Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa amesema  makada hao walikamatwa Septemba 30, 2025 saa 8:00 mchana katika maeneo tofauti jijini Mwanza‎, wakiendelea kuratibu mipango…

Read More