
Rais Chekera wa Malawi Anaelekea Kushindwa Uchaguzi Mkuu – Global Publishers
Rais Chekera wa Malawi Uchaguzi mkuu wa Malawi unaoendelea umeingia katika hatua ya kusisimua baada ya matokeo ya awali kuonyesha kwamba Rais Lazarus Chakwera, anayewania muhula wa pili madarakani, anaelekea kushindwa. Tume Huru ya Uchaguzi ya Malawi (MEC) imetoa takwimu za muda zinazobainisha kuwa wagombea wa upinzani, hususan kutoka vyama vikuu vya…