
Serikali kuzinusuru Tanapa, Ngorongoro | Mwananchi
Dar es Salaam. Uamuzi wa Serikali wa kurejesha utaratibu wa awali kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) umepongezwa na wadau mbalimbali. Awali, taasisi hizo zilikuwa zikikusanya mapato na kutumia sehemu ya mapato hayo kwa shughuli za utalii, lakini Serikali ilibadili utaratibu ambapo taasisi hizo zinakusanya mapato…