Afrika yaonyeshwa njia ya kukuza uchumi wake

Capetown. Mataifa ya Afrika yametakiwa kubadili mtazamo wa kutegemea kusaidiwa na mataifa yaliyoendelea na badala yake, yajikite katika kukuza ujasiriamali kwa kuwa na mikakati thabiti na sera zinazovutia ukuaji wa biashara ili kukuza uchumi wake. Pengine kwa rasilimali za asili Afrika inaongoza lakini bara hilo la pili kwa idadi ya watu duniani, siyo miongoni hata…

Read More

Rais wa mpito wa Bangladesh kuapishwa Alhamis ya Agosti 8 – DW – 07.08.2024

Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari yake kwenye uwanja wa ndege wa Paris, na kuelekea Dubai ambapo atapanda ndege nyingine kuelekea Dhaka, Yunus amesema anatarajiwa kurejea nyumbani, kushuhudia kile kinachoendelea na kutafakari wanavyoweza kujipanga kwa lengo la kujikwamua na matatizo walionayo. Kukiwa na idadi kubwa wa waandishi wa habari na usalama ulioimarishwa…

Read More