Gamondi amtaja Tchakei, suluhu ya Wahabeshi

BAADA ya kuambulia pointi moja kupitia suluhu ya mechi ya kwanza ya michuano ya Kombe la Kagame 2025, kocha Miguel Gamondi amesema walikosa mchezaji mbunifu wa kufungua ukuta wa wapinzani wao, Coffee ya Ethiopia huku akimtaja Marouf Tchakei. Singida ilipata suluhu ya mechi za Kundi A ya michuano hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali…

Read More

Lawi aikana Simba “Mimi ni mchezaji wa Coastal”

WAKATI Simba ikitarajiwa kupaa jioni ya leo kuelekea Misri kwa ajili ya kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa 2024-2025, beki Lameck Lawi yupo zake Dar es Salaam na kikosi cha Coastal Union akijifua tayari kwa michuano ya Kagame huku mwenyewe akisema yeye ni mchezaji wa Coastal Union. Lawi ambaye alikuwa wa kwanza kutambulishwa ndani…

Read More

KLABU BINGWA YA TAIFA 2025 KUANZA LEO TANGA

▫️Jumla ya mapambano 21 kupigwa jioni ya leo ▫️Vilabu 15 kushiriki MASHINDANO ya ngumi ya Klabu Bingwa ya Taifa yanatarajia kuanza rasmi jioni ya leo katika uwanja wa michezo wa Urithi, Jijini Tanga. Jumla ya vilabu 15 kutoka mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Kagera, Arusha, Iringa na Dodoma vinashiriki mashindano hayo vikiwa na jumla…

Read More

Pamba yazindua jezi baada ya miezi mitano

HATIMAYE Klabu ya Pamba jiji ya Mwanza imezindua rasmi jezi za msimu wa  2025/2026 na uuzaji wake utaanza leo katika mkoa wa Mwanza, baada ya subira ya mashabiki ya takribani miezi mitano tangu Ligi Kuu Bara ilipoanza Septemba 17. Pamba imezindua uuzaji wa jezi hizo  Mwanza, leo Januari 10, 2026, katika duka lililopo mtaa wa…

Read More

Maboresho mifumo ya kodi yanukia

Dar es Salaam. Machungu yanayowakabili wafanyabiashara huenda yakapata mwarobaini, baada ya Serikali kutangaza mpango wa kuunda kamati ya maboresho ya mifumo ya kikodi. Kamati hiyo itakayoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhusisha wajumbe kutoka sekta ya umma na binafsi, inatarajiwa kuja na mapendekezo yatakayofumua mifumo ya kikodi itakayohusisha sera na sheria. Msingi wa kuundwa…

Read More

M/RAIS AKIHANI MSIBA KWA WANAKIJIJI KASUMO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiifariji familia na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha Bi. Doleta Minya kilichotokea tarehe 09 Julai 2024. Makamu wa Rais ametoa pole hizo wakati alipoitembelea familia ya marehemu akiwa Kijiji Kasumo Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma tarehe 11 Julai 2024.

Read More

Mapokezi yanayowasubiri wahitimu darasa la saba mtaani

Dar es Salaam. Wakati wazazi wakianza kuangalia sehemu ambazo watoto wao watakwenda kusoma masomo ya kujiandaa na elimu ya sekondari watakapomaliza mitihani ya darasa la saba kesho Septemba 12, 2024 wadau wa elimu wameeleza faida na hasara za kufanya hivyo. Baadhi wamesema elimu hiyo itamfanya mtoto kujua namna ya kukabiliana na masomo ya sekondari, wengine…

Read More

Wakamuliwa buku mbili, kupiga  picha bango la mastaa Simba 

WAKATI  biashara mbalimbali zikiendelea kufanywa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa linapofanyika tamasha la Simba Day leo, wapiga picha mnato nao wameanzisha ubunifu wa kuhakikisha wanajipatia pesa katika siku hii kubwa kwa mashabiki wa Simba. Badala ya kupiga picha tu za mashabiki wakiwa wamekaa sehemu tofauti tofauti, sasa wameamua kuweka mabango ambayo shabiki anayehitaji atapigwa picha…

Read More

TAAMULI HURU: 4R zitumike kuponya makovu ya Mapinduzi ya Zanzibar

Jumapili ya Januari 12, 2025 imedondokea siku ileile ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyotokea Jumapili ya Januari 12, 1964. Tanzania imeadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Wakati Wazanzibari wengi wanashereheka kuyapongeza Mapinduzi hayo na wengine hadi kuyapa utukufu kwa kuyaita Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ambapo neno utukufu kwa dini mbili kuu, Wakristu na Waislamu,…

Read More