Wafanyakazi katika uwanja wa JKIA-Kenya wagoma – DW – 11.09.2024
Mamia ya wafanyakazi katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi JKIA wamegoma wakiupinga mkataba kati ya serikali na mwekezaji wa kigeni. Ndege nyingi zimeahirisha safari na kufanya mamia ya abiria kukwama uwanjani hapo. Serikali imesema mkataba wa ujenzi na uendeshaji uliofikiwa na kampuni ya Adani ya nchini ndia ungeshuhudia ukarabati wa…