Hizi timu zinashuka Ligi Kuu Bara

ZIMEBAKI mechi saba za kujitetea kwa timu mbili kuepuka kushuka daraja kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu huku takwimu zikionyesha zina kazi kubwa ya kufanya. Timu hizo ni zile zinazoshika nafasi ya 16 na 15 ambapo kama msimu ukimalizika zikiendelea kubaki hapo, basi zitashuka moja kwa moja kama ambavyo Kanuni ya 6(2) ya Ligi Kuu…

Read More

OSHA YAWAWEZESHA WACHIMBAJI, WAPONDAJI KOKOTO DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu Wajasiriamali wadogo wapatao 500 wanaojihusisha na uchimbaji na uchakataji kokoto Jijini Dar es Salaam wamewezeshwa vifaa kinga na kupatiwa mafunzo ya usalama na afya ili kujiepusha na ajali, magonjwa na vifo vinavyoweza kusababishwa na vihatarishi vilivyopo katika mazingira ya kazi. Uwezeshaji huo umefanywa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi…

Read More

VETA yatoa mafunzo kwa madereva 5170

Mwalimu wa VETA Kihonda William Munuo akizungumza na mteja kwenye Banda la VETA katika Maonesho ya Biashara Kimataifa ya 48 yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. *Nikufuata madereva katika Ofisi zao bila kuathiri safari Na Mwandishi Wetu  MWALIMU wa Magari Makubwa VETA Kihonda William Munuo amesema kuwa baada ya VETA…

Read More

Ifahamu saratani ya damu iliyokatisha uhai wa Mafuru

Dar es Salaam. Wataalamu wa magonjwa ya saratani wamesema ugonjwa wa saratani ya damu ‘Leukemia’ hauna chanzo maalumu, huku wakitaja sababu za kimazingira zinazoweza kuchangia mtu kupata ugonjwa huo. Saratani ya damu ndio ugonjwa uliokatisha maisha ya aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Tanzania, Lawrence Mafuru (52). Mtaalamu huyo wa fedha na uchumi maarufu…

Read More

MIAKA 25 YA HUDUMA YA MTOTO WAZAZI WAPEWA NENO.

Wazazi na walezi wametakiwa kuwa karibu na watoto wao nyakati zote katika kuhakikisha wanakuwa na maadili mazuri ili kupunguza matukio ya unyanyasaji na ukatili kwa watoto Wito huo umetolewa na Diwani viti maalumu Tarafa ya Mbugwe Wilaya ya Babati Mkoani Manyara Bi Naomi Sangu Wakati wa Maadhimisho ya miaka 25 ya Huduma ya mtoto na…

Read More

Punguzo lenye neema kwa benki, Serikali na wananchi

Sekta ya huduma za fedha ni miongoni mwa zinazokua kwa kasi hapa nchini, huku ujumuishi wa watu katika huduma hizo muhimu za kiuchumi ukiongezeka. Miongoni mwa huduma zilizojumuisha Watanzania wengi katika huduma za kifedha ukiachilia mbali miamala ya simu ni huduma za kibenki, hata hivyo utitiri wa makato ni kikwazo kikubwa kwa watu. Hatua ya…

Read More