MAANDALIZI YA UZINDUZI WA KUWASHA MWENGE YAMEPAMBA MOTO

MWENGE WA UHURU KUWASHA APRILI 2,2025 PWANI Na Khadija Kalili Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge amewatoa wito kwa wakaazi wa Mkoa wa Pwani kujitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa kuwasha mwenge Kitaifa utakaofanyika Aprili 2 ,2025 uliopangwa kufanyika kwenye Viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha. “Mtakumbuka kuwa wakati wa maadhimisho…

Read More

Polisi yatoa kauli miili miwili kuokotwa mkoani Dodoma

Dodoma. Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuhusu matukio ya miili ya wanawake wawili kuokotwa katika Kata ya Mkonze jijini Dodoma, likiwataka waliopotelewa na ndugu kujitokeza kuutambua mmoja. Mwili huo ni wa mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 25 hadi 30 uliopatikana kwenye korongo katika Mtaa wa Miganga, kata ya Mkonze Jumapili Julai…

Read More

Kilo 500 za taka zaondolewa Mlima Kilimanjaro, wadau waonya

Moshi. Kampeni maalumu ya usafi iliyofanyika kwa siku tano katika hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro imefanikisha kuondolewa kwa zaidi ya kilo 500 za taka katika maeneo mbalimbali ya hifadhi hiyo, hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kulinda uhalisia na usalama wa kivutio hicho maarufu duniani. Kampeni hiyo ilihusisha zaidi ya watu 43 wakiwemo wapagazi, waongoza watalii,…

Read More

Siku ya Ulimwenguni kwa barafu za barafu

Khumbu Glacier katika mkoa wa Mt. Everest huko Nepal. Ripoti mpya inasema Glacier Melt huongeza hatari ya kupata athari na athari za kuongezeka kwa uchumi, mazingira, na jamii, sio tu katika mikoa ya mlima bali katika kiwango cha ulimwengu. Mikopo: Tanka Dhakal/IPS na Tanka Dhakal (Bloomington, USA) Jumamosi, Machi 22, 2025 Huduma ya waandishi wa…

Read More

Tanzania inavyohitaji mfumo wa elimu mviringo

Nimewahi kuzungumzia jinsi mababu zetu walivyowalea watoto na wajukuu zao ili waelewe kwamba ulimwengu wote una asili ya kuhusiana, kutegemeana, na kuunganika. Nimekuwa nikiita hii ni falsafa ya mviringo ambao hauna budi kulindwa ili usivunjike au kutenganishwa kwa namna yoyote. Tuchukue mfano wa gurudumu la baiskeli ambalo ni mviringo. Gurudumu hilo likitoboka au kukatika, baiskeli…

Read More

Gusa achia Yanga… Ina mambo matatu!

HUKO kitaani kwa sasa mashabiki wa Yanga wameanza kunenepa kwa furaha kwa aina ya soka linalopigwa na nyota wa timu hiyo maarufu kama ‘Gusa Achia Twende Kwao’ ambalo siku za karibuni limezitesa timu pinzani katika mechi za Ligi Kuu Bara, huku kocha wa timu hiyo, Sead Ramovic akifichua siri tatu za soka hilo. Kocha huyo…

Read More