Hii hapa kauli ya kwanza ya Sativa tangu atoke hospitali
Dar es Salaam. Edgar Mwakabela maarufu Sativa anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana kisha kumtesa, kwa mara ya kwanza tangu apatikane Juni 27 ameandika katika ukurasa wake wa X (zamani Twitter). Sativa aliyepatikana Katavi akiwa na majeraha baada ya kutoweka jijini Dar es Salaam leo Julai 7, 2024 ameandika; “Asante bwana kwa uzima huu hakika nimeliona…