Kocha JKT ataka rekodi mpya Isamuhyo
LICHA ya Simba kutinga fainali Kombe la Shirikisho Afrika baada ya miaka 32 tangu ilipofanya hivyo kwa kucheza fainali ya Kombe la CAF 1993, lakini hilo wala halijamtisha Kocha Mkuu wa JKT Tanzania, Hamad Ally aliyetamba mechi dhidi ya mnyama anataka rekodi mpya ikiwa nyumbani. JKT itaipokea Simba ikiwa ndio kwanza imetoka kuing’oa Stellenbosch ya…