PWANI KUZINDUA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA MAMA SAMIA
Na Khadija Kalili Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge amesema kuwa Mkoa wa Pwani utazindua Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ‘Samia Legal Aid’ tarehe 24 Februari 2025 katika Viwanja vya Stendi ya zamani Mailimoja Kibaha. RC Kunenge amesema hayo leo tarehe 22 Februari 2025 kwenye mkutano na…