Ukali wa mzazi unavyoweza kuathiri uhusiano na mtoto

Dar es Salaam. Wanasema samaki mkunje angali mbichi, methali hii inashabihiana na aina ya jamii za Afrika na dunia kwa ujumla, ambapo moja ya majukumu ya mzazi katika familia ni kuhakikisha mtoto anakuwa katika maadili bora na upendo, huku mshikamo ukisimama kama nguzo muhimu katika familia. Ni dhahiri kuwa baadhi ya tabia za watoto kama…

Read More

TBS YATOA ELIMU YA UDHIBITI UBORA KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA

SHIRIKA la viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu kwa wazalishaji, waagizaji sambamba na wasambazaji wa bidhaa yenye lengo la kuhakikisha wanafuata matakwa ya Sheria za Viwango kwa kuingiza sokoni bidhaa zinazokidhi viwango. Akizungumza na waandishi wa habari, January 30,2025 kwenye maadhiamisho ya wiki ya Sheria Kanda ya Dar es Salaam katika viwanja vya mnazi Mmoja,Afisa…

Read More

Vita mpya ya Stumai, Jentrix Ligi ya Wanawake

VITA ya ufungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) inazidi kupamba moto kati ya mastaa wawili, Stumai Abdallah ((JKT Queens) na Jentrix Shikangwa (Simba Queens) huku mbio zao zikikolezwa na takwimu bora kati yao. Wachezaji hao wameendelea kukabana koo kwenye ufungaji wa mabao kila mmoja akikitaka kiatu cha kufumania nyavu kwenye ligi hiyo msimu…

Read More

Vigogo EAC, SADC wakutana kujadili amani DR Congo

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliyofanyika kwa njia ya mtandao leo Jumatano, Agosti 13, 2025 ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania…

Read More

Madereva wenye leseni, hawana vyeti kikaangoni

Moshi. Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Kilimanjaro, limeendelea na operesheni maalumu ya kuhakiki leseni za madereva wa magari ya abiria. Jeshi hilo limesema madereva watakaokutwa hawana sifa za kuendesha magari hayo wataondolewa barabarani. Jana, Januari 6, 2025 baadhi ya magari madogo aina ya Toyota Noah yanayobeba abiria kati ya Moshi Mjini…

Read More