CHIKOTA ASHAURI MAMBO MATANO KWENYE ZAO LA KOROSHO

Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota,akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2024/25 bungeni jijini Dodoma. Na Mwandishi Wetu, DODOMA Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan namna anavyothamini sekta ya kilimo na dhamira ya kuwakomboa wakulima kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kutoka Sh.Bilioni 900…

Read More

Tanzania, Korea zapanda mbegu ya ushirikiano mpya wa kiuchumi

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Korea zimefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi kupitia Jukwaa la Biashara la Tanzania–Korea (Tanzania–Korea Business Forum) lililowakutanisha wadau wa uwekezaji na biashara wa serikali na sekta binafsi kutoka mataifa yote mawili. Akifungua jukwaa hilo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud…

Read More

NAIBU WAZIRI KAPINGA AWAHAKIKISHIA UMEME WA UHAKIKA WANANCHI WA VIJIJI VYA MANZWAGI NA KIDUNYASHI.

Naibu Waziri wa Nishati. Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kuwasimamia kwa umakini wakandarasi ili waweze kukamilisha kazi zao kwa wakati na kwa ufanisi, pia amewaelekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wanaongeza nguzo 40 ambazo ni Sawa na kilometa mbili kwa wananchi wa vijiji vya Manzwagi na Kidunyashi kabla ya tarehe 27 Julai, 2024….

Read More

Uchaguzi mabaraza: Ni vita ya Mbowe, Lissu

Dar es Salaam. Baada ya minyukano ya nguvu za hoja kwa takriban wiki mbili,  uchaguzi wa viongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ngazi ya mabaraza, umeiva. Mabaraza hayo ni vijana (Bavicha) na wazee (Bazecha), ambayo yote uchaguzi wake unafanyika kesho Jumatatu, Januari 13, 2024. Mkutano wa Bavicha utafanyikia ukumbi wa Ubungo Plaza…

Read More

JK AENDELEZA JUHUDI KUKUZA SEKTA YA MAJI BARANI AFRIKA.

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ameshiriki Mkutano wa Bodi wa Taasisi ya Kimataifa inayojishughulisha na Masuala ya Maji Barani Afrika (Global Water Partnership – Southern Africa and Africa Coordination Unit – GWPSA – Africa) uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2024, jijini Pretoria, Afrika Kusini. Rais Mtaafu Dkt. Kikwete ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi hiyo inayotoa…

Read More

CCM: Hatutakata majina Uchaguzi Mkuu Oktoba

Sengerema. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, hakuna mgombea atakayekatwa jina lake bali watateuliwa wale wanaokubalika na wananchi pekee. Chama hicho kimewasisitiza wajumbe wake kusikiliza sauti ya wananchi na kutowapitisha watu ambao hawakubaliki na wananchi, hususan wale wanaotumia fedha kupata madaraka. Kauli hiyo ilitolewa jana jioni Juni 24, 2025…

Read More

Angalizo watumiaji mafuta ya kujikinga na miale ya jua

Dar es Salaam. Wataalamu wa afya ya ngozi wametoa tahadhari kufuatia ongezeko la kasi la biashara ya bidhaa za kukinga miale ya jua, maarufu kama ‘sunscreen’, wakisisitiza kuwa kuna umuhimu wa ngozi kupata miale ya jua kwa kiwango cha kutosha kila siku. Biashara ya bidhaa hizo imeonekana kushamiri kwenye maduka ya vipodozi na mitandaoni ambapo…

Read More

Hospitali ya Aga Khan yatunukiwa tuzo mbili kimataifa

Dar es Salaam. Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam (AKH-D), imeandika historia mpya, baada ya kutunukiwa tuzo mbili katika Kongamano la 48 la Hospitali Duniani. AKH-D imetunukiwa tuzo hiyo na Shirikisho la Kimataifa la Hospitali (IHF), ikiwa miongoni mwa taasisi chache kutoka Afrika Mashariki zilizofanikiwa kutambulika kwa ubora, uongozi thabiti na uwajibikaji wa kijamii….

Read More